Jifunze Kiingereza :: Somo la 99 Kutoka nje ya hoteli
Misamiati ya Kiingereza
Unatamkaje kwa Kiingereza Niko tayari kuondoka; Nilifurahia matembezi yangu; Hii ni hoteli nzuri; Wafanyakazi wako ni bora; Nitakupendekeza; Asante kwa kila kitu; Nahitaji mhudumu wa mizigo; Je, unaweza kuniletea teksi?; Wapi naweza kupata teksi?; Nahitaji teksi; Nauli ni ngapi?; Tafadhali nisubiri; Nahitaji kukodi gari; Mlinzi wa usalama;
1/14
Niko tayari kuondoka
© Copyright LingoHut.com 728336
I am ready to check out
Rudia kwa sauti
2/14
Nilifurahia matembezi yangu
© Copyright LingoHut.com 728336
I enjoyed my stay
Rudia kwa sauti
3/14
Hii ni hoteli nzuri
© Copyright LingoHut.com 728336
This is a beautiful hotel
Rudia kwa sauti
4/14
Wafanyakazi wako ni bora
© Copyright LingoHut.com 728336
Your staff are outstanding
Rudia kwa sauti
5/14
Nitakupendekeza
© Copyright LingoHut.com 728336
I will recommend you
Rudia kwa sauti
6/14
Asante kwa kila kitu
© Copyright LingoHut.com 728336
Thank you for everything
Rudia kwa sauti
7/14
Nahitaji mhudumu wa mizigo
© Copyright LingoHut.com 728336
I need a bellhop
Rudia kwa sauti
8/14
Je, unaweza kuniletea teksi?
© Copyright LingoHut.com 728336
Can you get me a taxi?
Rudia kwa sauti
9/14
Wapi naweza kupata teksi?
© Copyright LingoHut.com 728336
Where can I find a taxi?
Rudia kwa sauti
10/14
Nahitaji teksi
© Copyright LingoHut.com 728336
I need a taxi
Rudia kwa sauti
11/14
Nauli ni ngapi?
© Copyright LingoHut.com 728336
How much is the fare?
Rudia kwa sauti
12/14
Tafadhali nisubiri
© Copyright LingoHut.com 728336
Please wait for me
Rudia kwa sauti
13/14
Nahitaji kukodi gari
© Copyright LingoHut.com 728336
I need to rent a car
Rudia kwa sauti
14/14
Mlinzi wa usalama
© Copyright LingoHut.com 728336
Security guard
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording