Jifunze Kiingereza :: Somo la 91 Daktari: Nimeumia
Misamiati ya Kiingereza
Unatamkaje kwa Kiingereza Mguu wangu unauma; Nilianguka; Nilipata ajali; Unahitaji plasta; Je, una magongo?; Kutenguka; Ulivunja mfupa; Nadhani niliuvunja; Lala chini; Nahitaji kulala chini; Angalia kwenye vilio hili; Unaumwa wapi?; Kidonda kimeambukizwa;
1/13
Mguu wangu unauma
© Copyright LingoHut.com 728328
My foot hurts
Rudia kwa sauti
2/13
Nilianguka
© Copyright LingoHut.com 728328
I fell
Rudia kwa sauti
3/13
Nilipata ajali
© Copyright LingoHut.com 728328
I had an accident
Rudia kwa sauti
4/13
Unahitaji plasta
© Copyright LingoHut.com 728328
You need a cast
Rudia kwa sauti
5/13
Je, una magongo?
© Copyright LingoHut.com 728328
Do you have crutches?
Rudia kwa sauti
6/13
Kutenguka
© Copyright LingoHut.com 728328
Sprain
Rudia kwa sauti
7/13
Ulivunja mfupa
© Copyright LingoHut.com 728328
You broke a bone
Rudia kwa sauti
8/13
Nadhani niliuvunja
© Copyright LingoHut.com 728328
I think I broke it
Rudia kwa sauti
9/13
Lala chini
© Copyright LingoHut.com 728328
Lie down
Rudia kwa sauti
10/13
Nahitaji kulala chini
© Copyright LingoHut.com 728328
I need to lay down
Rudia kwa sauti
11/13
Angalia kwenye vilio hili
© Copyright LingoHut.com 728328
Look at this bruise
Rudia kwa sauti
12/13
Unaumwa wapi?
© Copyright LingoHut.com 728328
Where does it hurt?
Rudia kwa sauti
13/13
Kidonda kimeambukizwa
© Copyright LingoHut.com 728328
The cut is infected
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording