Jifunze Kiingereza :: Somo la 89 Ofisi ya matibabu
Misamiati ya Kiingereza
Unatamkaje kwa Kiingereza Nahitaji kuona daktari; Je, daktari yuko ofisini?; Unaweza tafadhali kuita daktari?; Daktari atakuja lini?; Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?; Sijui nina nini; Nimepoteza miwani yangu; Je, unaweza kuibadilisha mara moja?; Ninahitaji agizo la daktari?; Je, unakula dawa yoyote?; Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu; Asante kwa msaada wako;
1/12
Nahitaji kuona daktari
© Copyright LingoHut.com 728326
I need to see a doctor
Rudia kwa sauti
2/12
Je, daktari yuko ofisini?
© Copyright LingoHut.com 728326
Is the doctor in the office?
Rudia kwa sauti
3/12
Unaweza tafadhali kuita daktari?
© Copyright LingoHut.com 728326
Could you please call a doctor?
Rudia kwa sauti
4/12
Daktari atakuja lini?
© Copyright LingoHut.com 728326
When will the doctor come?
Rudia kwa sauti
5/12
Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?
© Copyright LingoHut.com 728326
Are you the nurse?
Rudia kwa sauti
6/12
Sijui nina nini
© Copyright LingoHut.com 728326
I don't know what I have
Rudia kwa sauti
7/12
Nimepoteza miwani yangu
© Copyright LingoHut.com 728326
I have lost my glasses
Rudia kwa sauti
8/12
Je, unaweza kuibadilisha mara moja?
© Copyright LingoHut.com 728326
Can you replace them right away?
Rudia kwa sauti
9/12
Ninahitaji agizo la daktari?
© Copyright LingoHut.com 728326
Do I need a prescription?
Rudia kwa sauti
10/12
Je, unakula dawa yoyote?
© Copyright LingoHut.com 728326
Are you taking any medication?
Rudia kwa sauti
11/12
Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu
© Copyright LingoHut.com 728326
Yes, for my heart
Rudia kwa sauti
12/12
Asante kwa msaada wako
© Copyright LingoHut.com 728326
Thank you for your help
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording