Jifunze Kiingereza :: Somo la 57 Kununua kwa nguo
Misamiati ya Kiingereza
Unatamkaje kwa Kiingereza Naweza kujipima?; Wapi chumba kubadilisha?; Kubwa; Ya kati; Ndogo; Navaa saizi kubwa; Je, una saizi kubwa zaidi?; Je, una saizi ndogo zaidi?; Hii inabana sana; Inanifaa vizuri; Napenda hii shati; Unauza makoti ya mvua?; Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?; Rangi hainipendezi; Je, unayo katika rangi nyingine?; Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?; Unaweza kunionyesha saa?;
1/17
Naweza kujipima?
© Copyright LingoHut.com 728294
Can I try it on?
Rudia kwa sauti
2/17
Wapi chumba kubadilisha?
© Copyright LingoHut.com 728294
Where is the changing room?
Rudia kwa sauti
3/17
Kubwa
© Copyright LingoHut.com 728294
Large
Rudia kwa sauti
4/17
Ya kati
© Copyright LingoHut.com 728294
Medium
Rudia kwa sauti
5/17
Ndogo
© Copyright LingoHut.com 728294
Small
Rudia kwa sauti
6/17
Navaa saizi kubwa
© Copyright LingoHut.com 728294
I wear a size large
Rudia kwa sauti
7/17
Je, una saizi kubwa zaidi?
© Copyright LingoHut.com 728294
Do you have a larger size?
Rudia kwa sauti
8/17
Je, una saizi ndogo zaidi?
© Copyright LingoHut.com 728294
Do you have a smaller size?
Rudia kwa sauti
9/17
Hii inabana sana
© Copyright LingoHut.com 728294
This is too tight
Rudia kwa sauti
10/17
Inanifaa vizuri
© Copyright LingoHut.com 728294
It fits me well
Rudia kwa sauti
11/17
Napenda hii shati
© Copyright LingoHut.com 728294
I like this shirt
Rudia kwa sauti
12/17
Unauza makoti ya mvua?
© Copyright LingoHut.com 728294
Do you sell raincoats?
Rudia kwa sauti
13/17
Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?
© Copyright LingoHut.com 728294
Could you show me some shirts?
Rudia kwa sauti
14/17
Rangi hainipendezi
© Copyright LingoHut.com 728294
The color doesn't suit me
Rudia kwa sauti
15/17
Je, unayo katika rangi nyingine?
© Copyright LingoHut.com 728294
Do you have it in another color?
Rudia kwa sauti
16/17
Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?
© Copyright LingoHut.com 728294
Where can I find a bathing suit?
Rudia kwa sauti
17/17
Unaweza kunionyesha saa?
© Copyright LingoHut.com 728294
Could you show me the watch?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording