Jifunze Kiingereza :: Somo la 27 Shughuli za pwani
Misamiati ya Kiingereza
Unatamkaje kwa Kiingereza Kuota jua; Neli ya hewa ya mzamia; Kutumia neli ya hewa; Je, ufukwe una mchanga?; Je, ni salama kwa watoto?; Je, tunaweza kuogelea hapa?; Je, ni salama kuogelea hapa?; Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?; Je, bamvua inatokea saa ngapi?; Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?; Je, kuna mkondo wa nguvu?; Naenda kwa matembezi; Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?; Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?; Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?;
1/15
Kuota jua
© Copyright LingoHut.com 728264
Sunbathe
Rudia kwa sauti
2/15
Neli ya hewa ya mzamia
© Copyright LingoHut.com 728264
Snorkel
Rudia kwa sauti
3/15
Kutumia neli ya hewa
© Copyright LingoHut.com 728264
Snorkeling
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ufukwe una mchanga?
© Copyright LingoHut.com 728264
Is it a sandy beach?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, ni salama kwa watoto?
© Copyright LingoHut.com 728264
Is it safe for children?
Rudia kwa sauti
6/15
Je, tunaweza kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 728264
Can we swim here?
Rudia kwa sauti
7/15
Je, ni salama kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 728264
Is it safe to swim here?
Rudia kwa sauti
8/15
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
© Copyright LingoHut.com 728264
Is there a dangerous undertow?
Rudia kwa sauti
9/15
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 728264
What time is high tide?
Rudia kwa sauti
10/15
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 728264
What time is low tide?
Rudia kwa sauti
11/15
Je, kuna mkondo wa nguvu?
© Copyright LingoHut.com 728264
Is there a strong current?
Rudia kwa sauti
12/15
Naenda kwa matembezi
© Copyright LingoHut.com 728264
I am going for a walk
Rudia kwa sauti
13/15
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
© Copyright LingoHut.com 728264
Can we dive here without danger?
Rudia kwa sauti
14/15
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
© Copyright LingoHut.com 728264
How do I get to the island?
Rudia kwa sauti
15/15
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
© Copyright LingoHut.com 728264
Is there a boat that can take us there?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording