Jifunze Kiingereza :: Somo la 1 Mkutano
Kadi za masomo
Unatamkaje kwa Kiingereza Hujambo; Habari ya asubuhi; Habari ya mchana; Habari ya jioni; Usiku mwema; Jina lako ni nani?; Jina langu ni ___; Samahani, sijakusikia; Unaishi wapi?; Unatoka wapi?; Habari gani?; Nzuri, asante; Na wewe?; Vizuri kukutana na wewe; Vizuri kukuona; Uwe na siku njema; Tutaonana baadaye; Tutaonana kesho; Kwaheri;
1/19
Na wewe?
And you?
- Kiswahili
- Kiingereza
2/19
Unaishi wapi?
Where do you live?
- Kiswahili
- Kiingereza
3/19
Jina lako ni nani?
What is your name?
- Kiswahili
- Kiingereza
4/19
Unatoka wapi?
Where are you from?
- Kiswahili
- Kiingereza
5/19
Tutaonana kesho
See you tomorrow
- Kiswahili
- Kiingereza
6/19
Habari gani?
How are you?
- Kiswahili
- Kiingereza
7/19
Habari ya mchana
Good afternoon
- Kiswahili
- Kiingereza
8/19
Vizuri kukutana na wewe
Nice to meet you
- Kiswahili
- Kiingereza
9/19
Hujambo
Hello
- Kiswahili
- Kiingereza
10/19
Nzuri, asante
Fine, thank you
- Kiswahili
- Kiingereza
11/19
Samahani, sijakusikia
Sorry, I did not hear you
- Kiswahili
- Kiingereza
12/19
Usiku mwema
Good night
- Kiswahili
- Kiingereza
13/19
Habari ya jioni
Good evening
- Kiswahili
- Kiingereza
14/19
Tutaonana baadaye
See you later
- Kiswahili
- Kiingereza
15/19
Kwaheri
Goodbye
- Kiswahili
- Kiingereza
16/19
Uwe na siku njema
Have a nice day
- Kiswahili
- Kiingereza
17/19
Habari ya asubuhi
Good morning
- Kiswahili
- Kiingereza
18/19
Jina langu ni ___
My name is ___
- Kiswahili
- Kiingereza
19/19
Vizuri kukuona
Nice to see you
- Kiswahili
- Kiingereza
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording