Jifunze Kivietinamu :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kivietinamu
Unatamkaje kwa Kivietinamu Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi cảm thấy không được khỏe
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi bị bệnh
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi bị đau dạ dày
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi bị đau đầu
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi cảm thấy buồn nôn
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi bị dị ứng
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi bị tiêu chảy
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi chóng mặt
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi mắc chứng đau nửa đầu
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi đã bị sốt từ hôm qua
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi cần thuốc để giảm đau
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi không bị huyết áp cao
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi đang mang thai
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 728202
Tôi bị phát ban
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 728202
Nó có nghiêm trọng không?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording