Jifunze Kiurdu :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kiurdu
Unatamkaje kwa Kiurdu Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 728093
کیا آپ صحت کا بیمہ پیش کرتے ہیں؟
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 728093
جی ہاں، یہاں چھ ماہ کام کرنے کے بعد
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 728093
کیا آپ کے پاس ورکنگ پرمٹ ہے؟
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 728093
ہاں میرے پاس ورکنگ پرمٹ ہے
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 728093
میرے پاس ورکنگ پرمٹ نہیں ہے
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 728093
آپ کب شروع کرسکتے ہیں؟
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 728093
میں دس ڈالر فی گھنٹہ ادا کرتا ہوں
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 728093
میں دس یورو فی گھنٹہ ادا کرتا ہوں
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 728093
میں آپ کو ہر ہفتے ادائیگی کروں گا
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 728093
فی مہینہ
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 728093
آپ کو ہفتہ اور اتوار کی چھٹی ملے گی
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 728093
آپ یونیفارم پہنیں گے
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording