Jifunze Kiurdu :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kiurdu
Unatamkaje kwa Kiurdu Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 728085
کیا اس میں دو بستر ہیں؟
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 728085
کیا آپ کے یہاں روم سروس ہے؟
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 728085
کیا آپ کے یہاں ریستوران ہے؟
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 728085
کیا اس میں کھانا شامل ہے؟
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 728085
کیا آپ کے یہاں پول ہے؟
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 728085
پول کہاں ہے؟
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 728085
ہمیں پول کیلئے تولیا چاہیے
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 728085
کیا آپ مجھے دوسرا تکیہ دے سکتے ہیں؟
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 728085
ہمارا کمرہ صاف نہیں کیا گیا ہے
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 728085
کمرے میں کوئی کمبل نہیں ہے
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 728085
مجھے منیجر سے بات کرنی ہے
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 728085
گرم پانی نہیں ہے
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 728085
مجھے یہ کمرہ پسند نہیں ہے
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 728085
شاور کام نہیں کر رہا ہے
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 728085
ہمیں ایر کنڈیشن کمرہ چاہیے
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording