Jifunze Kikraini :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kikraini
Unatamkaje kwa Kikraini Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 727952
Я почуваюсь зле (ya pochuvaius zle)
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 727952
Я хворий (ya khvoryi)
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене болить живіт (u mene bolyt zhyvit)
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене болить голова (u mene bolyt holova)
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 727952
Мене нудить (mene nudyt)
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене алергія (u mene alerhiia)
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене діарея (u mene diareia)
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене паморочиться голова (u mene pamorochytsia holova)
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене мігрень (u mene mihren)
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене лихоманка відучора (u mene lykhomanka viduchora)
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 727952
Мені треба ліки від болю (meni treba liky vid boliu)
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене невисокий кров’яний тиск (u mene nevysokyi krovianyi tysk)
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 727952
Я вагітна (ya vahitna)
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 727952
У мене висип (u mene vysyp)
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 727952
Це серйозно? (tse seriozno)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording