Jifunze Kitagalogi :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kitagalogi
Unatamkaje kwa Kitagalogi Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 727584
Kuwarto sa hotel
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 727584
Mayroon akong reserbasyon
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 727584
Wala akong reservation
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 727584
Mayroon ka bang bakanteng kwarto?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 727584
Maaari ko bang makita ang mga kuwarto?
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 727584
Magkano ang halaga nito bawat gabi?
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 727584
Magkano ang gastos sa bawat linggo?
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 727584
Magtatagal nang tatlong linggo
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 727584
Nandito kami sa loob ng dalawang linggo
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 727584
Ako ay isang bisita
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 727584
Kailangan namin ng 3 susi
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 727584
Saan ang elevator?
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 727584
Mayroon bang double bed ang kuwarto mo?
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 727584
Ito ba ay may pribadong banyo?
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 727584
Nais naming magkaroon ng tanawin ng karagatan
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording