Jifunze Kisabia :: Somo la 123 Vitu ninafanya na sitaki
Misamiati ya Kisabia
Unatamkaje kwa Kisabia Nataka kuota jua; Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini; Nataka kwenda kwenye bustani; Nataka kwenda ziwani; Nataka kuteleza kwa ubao thelujini; Nataka kusafiri; Nataka kwenda kwa mashua; Nataka kucheza karata; Sitaki kwenda kupiga kambi; Sitaki kwenda kwa tanga; Sitaki kwenda kuvua; Sitaki kwenda kuogelea; Sitaki kucheza michezo ya video;
1/13
Nataka kuota jua
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да се сунчам (Želim da se sunčam)
Rudia kwa sauti
2/13
Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да скијам на води (Želim da skijam na vodi)
Rudia kwa sauti
3/13
Nataka kwenda kwenye bustani
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да идем у парк (Želim da idem u park)
Rudia kwa sauti
4/13
Nataka kwenda ziwani
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да идем на језеро (Želim da idem na jezero)
Rudia kwa sauti
5/13
Nataka kuteleza kwa ubao thelujini
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да скијам (Želim da skijam)
Rudia kwa sauti
6/13
Nataka kusafiri
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да путујем (Želim da putujem)
Rudia kwa sauti
7/13
Nataka kwenda kwa mashua
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да се возим чамцем (Želim da se vozim čamcem)
Rudia kwa sauti
8/13
Nataka kucheza karata
© Copyright LingoHut.com 727485
Желим да играм карте (Želim da igram karte)
Rudia kwa sauti
9/13
Sitaki kwenda kupiga kambi
© Copyright LingoHut.com 727485
Не желим да идем на камповање (Ne želim da idem na kampovanje)
Rudia kwa sauti
10/13
Sitaki kwenda kwa tanga
© Copyright LingoHut.com 727485
Не желим да идем на једрење (Ne želim da idem na jedrenje)
Rudia kwa sauti
11/13
Sitaki kwenda kuvua
© Copyright LingoHut.com 727485
Не желим да пецам (Ne želim da pecam)
Rudia kwa sauti
12/13
Sitaki kwenda kuogelea
© Copyright LingoHut.com 727485
Не желим да пливам (Ne želim da plivam)
Rudia kwa sauti
13/13
Sitaki kucheza michezo ya video
© Copyright LingoHut.com 727485
Не желим да играм видео игрице (Ne želim da igram video igrice)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording