Jifunze Kisabia :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kisabia
Unatamkaje kwa Kisabia Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 727459
Хотелска соба (Hotelska soba)
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 727459
Имам резервацију (Imam rezervaciju)
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 727459
Немам резервацију (Nemam rezervaciju)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 727459
Да ли имате слободних соба? (Da li imate slobodnih soba)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 727459
Могу ли да погледам собу? (Mogu li da pogledam sobu)
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 727459
Колико кошта ноћење? (Koliko košta noćenje)
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 727459
Колико кошта недељно? (Koliko košta nedeljno)
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 727459
Остаћу три недеље (Ostaću tri nedelje)
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 727459
Дошли смо на две недеље (Došli smo na dve nedelje.)
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 727459
Ја сам гост (Ja sam gost)
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 727459
Требају нам три кључа (Trebaju nam tri ključa)
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 727459
Где је лифт? (Gde je lift)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 727459
Да ли соба има француски кревет? (Da li soba ima francuski krevet)
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 727459
Да ли има сопствено купатило? (Da li ima sopstveno kupatilo)
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 727459
Желели бисмо поглед на океан (Želeli bismo pogled na okean)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording