Jifunze Kisabia :: Somo la 27 Shughuli za pwani
Misamiati ya Kisabia
Unatamkaje kwa Kisabia Kuota jua; Neli ya hewa ya mzamia; Kutumia neli ya hewa; Je, ufukwe una mchanga?; Je, ni salama kwa watoto?; Je, tunaweza kuogelea hapa?; Je, ni salama kuogelea hapa?; Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?; Je, bamvua inatokea saa ngapi?; Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?; Je, kuna mkondo wa nguvu?; Naenda kwa matembezi; Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?; Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?; Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?;
1/15
Kuota jua
© Copyright LingoHut.com 727389
Сунчати се (Sunčati se)
Rudia kwa sauti
2/15
Neli ya hewa ya mzamia
© Copyright LingoHut.com 727389
Дисаљка за роњење (Disaljka za ronjenje)
Rudia kwa sauti
3/15
Kutumia neli ya hewa
© Copyright LingoHut.com 727389
Роњење помоц́у маске са дисаљком за роњење (Ronjenje pomoću maske sa disaljkom za ronjenje)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ufukwe una mchanga?
© Copyright LingoHut.com 727389
Да ли је плажа пешчана? (Da li je plaža peščana)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, ni salama kwa watoto?
© Copyright LingoHut.com 727389
Да ли је безбедно за децу? (Da li je bezbedno za decu)
Rudia kwa sauti
6/15
Je, tunaweza kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 727389
Можемо ли овде да пливамо? (Možemo li ovde da plivamo)
Rudia kwa sauti
7/15
Je, ni salama kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 727389
Да ли је овде безбедно за купање? (Da li je ovde bezbedno za kupanje)
Rudia kwa sauti
8/15
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
© Copyright LingoHut.com 727389
Да ли има опасних струја испод морске површине? (Da li ima opasnih struja ispod morske površine)
Rudia kwa sauti
9/15
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 727389
У које време је плима? (U koje vreme je plima)
Rudia kwa sauti
10/15
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 727389
У које време је осека? (U koje vreme je oseka)
Rudia kwa sauti
11/15
Je, kuna mkondo wa nguvu?
© Copyright LingoHut.com 727389
Да ли има јаких струја? (Da li ima jakih struja)
Rudia kwa sauti
12/15
Naenda kwa matembezi
© Copyright LingoHut.com 727389
Идем у шетњу (Idem u šetnju)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
© Copyright LingoHut.com 727389
Да ли је овде безбедно за роњење? (Da li je ovde bezbedno za ronjenje)
Rudia kwa sauti
14/15
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
© Copyright LingoHut.com 727389
Како да дођем до острва? (Kako da dođem do ostrva)
Rudia kwa sauti
15/15
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
© Copyright LingoHut.com 727389
Да ли постоји брод којим можемо до тамо? (Da li postoji brod kojim možemo do tamo)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording