Jifunze Kiroma :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kiroma
Unatamkaje kwa Kiroma Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 727335
Are 2 paturi?
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 727335
Aveți deservirea camerelor?
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 727335
Aveți restaurant?
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 727335
Mesele sunt incluse?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 727335
Aveți piscină?
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 727335
Unde este piscina?
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 727335
Avem nevoie de prosoape pentru piscină
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 727335
Puteți să-mi aduceți altă pernă?
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 727335
Nu s-a făcut curățenie în camera noastră
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 727335
Nu sunt pături în cameră
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 727335
Vreau să vorbesc cu managerul
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 727335
Nu este apă caldă
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 727335
Nu-mi place această cameră
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 727335
Cabina de duș nu funcționează
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 727335
Avem nevoie de o cameră cu aer condiționat
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording