Jifunze Kiroma :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kiroma
Unatamkaje kwa Kiroma Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 727308
Avem nevoie de o masă pentru patru persoane
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 727308
Aș dori să rezerv o masă pentru două persoane
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 727308
Pot să văd meniul?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 727308
Ce îmi recomandați?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 727308
Ce este inclus?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 727308
Se servește cu salată?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 727308
Care este supa zilei?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 727308
Care sunt specialitățile de azi?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 727308
Ce ai vrea să mănânci?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 727308
Desertul zilei
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 727308
Aș dori să încerc un preparat regional
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 727308
Ce tip de carne aveți?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 727308
Am nevoie de un șervețel
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 727308
Îmi dați niște apă, vă rog?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 727308
Îmi dai sarea, te rog?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 727308
Puteți să-mi aduceți fructe?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording