Jifunze Kihispania :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kihispania
Unatamkaje kwa Kihispania Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 727210
¿Tiene 2 camas?
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 727210
¿Tenéis servicio de habitaciones?
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 727210
¿Tenéis restaurante?
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 727210
¿Están incluidas las comidas?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 727210
¿Tenéis piscina?
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 727210
¿Dónde está la piscina?
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 727210
Necesitamos toallas para la piscina
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 727210
¿Puedes traerme otra almohada?
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 727210
Nuestra habitación no ha sido limpiada
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 727210
La habitación no tiene mantas
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 727210
Necesito hablar con el encargado
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 727210
No hay agua caliente
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 727210
No me gusta esta habitación
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 727210
La ducha no funciona
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 727210
Necesitamos una habitación con aire acondicionado
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording