Jifunze Kihispania :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Kadi za masomo
Unatamkaje kwa Kihispania Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Nilikuwa na homa tangu jana
Tengo fiebre desde ayer
- Kiswahili
- Kihispania
2/15
Ninaumwa tumbo
Tengo dolor de estómago
- Kiswahili
- Kihispania
3/15
Sijisikii vizuri
No me siento bien
- Kiswahili
- Kihispania
4/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
Necesito un medicamento para el dolor
- Kiswahili
- Kihispania
5/15
Nasikia kichefuchefu
Siento náuseas
- Kiswahili
- Kihispania
6/15
Sina shinikizo la damu
No tengo hipertensión
- Kiswahili
- Kihispania
7/15
Mimi ni mgonjwa
Estoy enfermo
- Kiswahili
- Kihispania
8/15
Mimi ni mjamzito
Estoy embarazada
- Kiswahili
- Kihispania
9/15
Ninaumwa kichwa
Tengo dolor de cabeza
- Kiswahili
- Kihispania
10/15
Je, hali ni mbaya sana?
¿Es grave?
- Kiswahili
- Kihispania
11/15
Nina tumbo la kuendesha
Tengo diarrea
- Kiswahili
- Kihispania
12/15
Nina kipandauso
Tengo migraña
- Kiswahili
- Kihispania
13/15
Nina upele
Tengo un sarpullido
- Kiswahili
- Kihispania
14/15
Nina mzio
Tengo una alergia
- Kiswahili
- Kihispania
15/15
Nina kizunguzungu
Estoy mareado
- Kiswahili
- Kihispania
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording