Jifunze Kihispania :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kihispania
Unatamkaje kwa Kihispania Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 727183
Necesitamos una mesa para cuatro
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 727183
Me gustaría reservar una mesa para dos
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Puedo ver el menú?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Qué me recomiendas?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Qué incluye?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Viene con ensalada?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Cuál es la sopa del día?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Cuáles son los platos del día?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Qué te gustaría comer?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 727183
El postre del día
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 727183
Me gustaría probar un plato regional
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Qué tipo de carne tenéis?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 727183
Necesito una servilleta
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Puedes darme un poco más de agua?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Me puedes pasar la sal?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 727183
¿Puedes traerme fruta?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording