Jifunze Kiswidi :: Somo la 99 Kutoka nje ya hoteli
Misamiati ya Kiswidi
Unatamkaje kwa Kiswidi Niko tayari kuondoka; Nilifurahia matembezi yangu; Hii ni hoteli nzuri; Wafanyakazi wako ni bora; Nitakupendekeza; Asante kwa kila kitu; Nahitaji mhudumu wa mizigo; Je, unaweza kuniletea teksi?; Wapi naweza kupata teksi?; Nahitaji teksi; Nauli ni ngapi?; Tafadhali nisubiri; Nahitaji kukodi gari; Mlinzi wa usalama;
1/14
Niko tayari kuondoka
© Copyright LingoHut.com 727086
Jag är redo att checka ut
Rudia kwa sauti
2/14
Nilifurahia matembezi yangu
© Copyright LingoHut.com 727086
Jag har haft en bra vistelse
Rudia kwa sauti
3/14
Hii ni hoteli nzuri
© Copyright LingoHut.com 727086
Det här är ett vackert hotell
Rudia kwa sauti
4/14
Wafanyakazi wako ni bora
© Copyright LingoHut.com 727086
Er personal är enastående
Rudia kwa sauti
5/14
Nitakupendekeza
© Copyright LingoHut.com 727086
Jag kommer att rekommendera er
Rudia kwa sauti
6/14
Asante kwa kila kitu
© Copyright LingoHut.com 727086
Tack för allt
Rudia kwa sauti
7/14
Nahitaji mhudumu wa mizigo
© Copyright LingoHut.com 727086
Jag behöver en pickolo
Rudia kwa sauti
8/14
Je, unaweza kuniletea teksi?
© Copyright LingoHut.com 727086
Kan du beställa taxi åt mig?
Rudia kwa sauti
9/14
Wapi naweza kupata teksi?
© Copyright LingoHut.com 727086
Var kan jag hitta en taxi?
Rudia kwa sauti
10/14
Nahitaji teksi
© Copyright LingoHut.com 727086
Jag behöver en taxi
Rudia kwa sauti
11/14
Nauli ni ngapi?
© Copyright LingoHut.com 727086
Hur mycket kostar resan?
Rudia kwa sauti
12/14
Tafadhali nisubiri
© Copyright LingoHut.com 727086
Vänta på mig
Rudia kwa sauti
13/14
Nahitaji kukodi gari
© Copyright LingoHut.com 727086
Jag behöver hyra bil
Rudia kwa sauti
14/14
Mlinzi wa usalama
© Copyright LingoHut.com 727086
Säkerhetsvakt
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording