Jifunze Kislovaki :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kislovaki
Unatamkaje kwa Kislovaki Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 726808
Potrebujeme stôl pre štyroch
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 726808
Chcel by som si rezervovať stôl pre dvoch
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 726808
Môžem vidieť menu?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 726808
Čo mi môžete odporučiť?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 726808
Čo je v cene?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 726808
Je to aj so šalátom?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726808
Aká je dnešná polievka?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726808
Aké sú dnešné špeciality?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 726808
Čo by ste chceli jesť?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 726808
Denná ponuka zákuskov
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 726808
Chcel by som skúsiť miestne jedlo
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 726808
Aké druhy mäsa máte?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 726808
Potrebujem servítku
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726808
Môžete mi priniesť viac vody?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 726808
Môžete mi podať soľ?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 726808
Môžete mi priniesť ovocie?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording