Jifunze Kirusi :: Somo la 123 Vitu ninafanya na sitaki
Misamiati ya Kirusi
Unatamkaje kwa Kirusi Nataka kuota jua; Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini; Nataka kwenda kwenye bustani; Nataka kwenda ziwani; Nataka kuteleza kwa ubao thelujini; Nataka kusafiri; Nataka kwenda kwa mashua; Nataka kucheza karata; Sitaki kwenda kupiga kambi; Sitaki kwenda kwa tanga; Sitaki kwenda kuvua; Sitaki kwenda kuogelea; Sitaki kucheza michezo ya video;
1/13
Nataka kuota jua
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу загорать (Ja hoču zagoratʹ)
Rudia kwa sauti
2/13
Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу покататься на водных лыжах (Ja hoču pokatatʹsja na vodnyh lyžah)
Rudia kwa sauti
3/13
Nataka kwenda kwenye bustani
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу пойти в парк (Ja hoču pojti v park)
Rudia kwa sauti
4/13
Nataka kwenda ziwani
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу поехать на озеро (Ja hoču poehatʹ na ozero)
Rudia kwa sauti
5/13
Nataka kuteleza kwa ubao thelujini
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу кататься на лыжах (Ja hoču katatʹsja na lyžah)
Rudia kwa sauti
6/13
Nataka kusafiri
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу путешествовать (Ja hoču putešestvovatʹ)
Rudia kwa sauti
7/13
Nataka kwenda kwa mashua
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу покататься на лодке (Ja hoču pokatatʹsja na lodke)
Rudia kwa sauti
8/13
Nataka kucheza karata
© Copyright LingoHut.com 726735
Я хочу поиграть в карты (Ja hoču poigratʹ v karty)
Rudia kwa sauti
9/13
Sitaki kwenda kupiga kambi
© Copyright LingoHut.com 726735
Я не хочу идти в поход (Ja ne hoču idti v pohod)
Rudia kwa sauti
10/13
Sitaki kwenda kwa tanga
© Copyright LingoHut.com 726735
Я не хочу ходить под парусом (Ja ne hoču hoditʹ pod parusom)
Rudia kwa sauti
11/13
Sitaki kwenda kuvua
© Copyright LingoHut.com 726735
Я не хочу идти на рыбалку (Ja ne hoču idti na rybalku)
Rudia kwa sauti
12/13
Sitaki kwenda kuogelea
© Copyright LingoHut.com 726735
Я не хочу купаться (Ja ne hoču kupatʹsja)
Rudia kwa sauti
13/13
Sitaki kucheza michezo ya video
© Copyright LingoHut.com 726735
Я не хочу играть в видеоигры (Ja ne hoču igratʹ v videoigry)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording