Jifunze Kirusi :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kirusi
Unatamkaje kwa Kirusi Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 726718
Вы предлагаете медицинскую страховку? (Vy predlagaete medicinskuju strahovku)
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 726718
Да, после шести месяцев работы здесь (Da, posle šesti mesjacev raboty zdesʹ)
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 726718
У вас есть разрешение на работу? (U vas estʹ razrešenie na rabotu)
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 726718
У меня есть разрешение на работу (U menja estʹ razrešenie na rabotu)
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 726718
У меня нет разрешения на работу (U menja net razrešenija na rabotu)
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 726718
Когда вы можете начать? (Kogda vy možete načatʹ)
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 726718
Я плачу десять долларов в час (Ja plaču desjatʹ dollarov v čas)
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 726718
Я плачу десять евро в час (Ja plaču desjatʹ evro v čas)
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 726718
Я буду платить каждую неделю (Ja budu platitʹ každuju nedelju)
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 726718
Раз в месяц (Raz v mesjac)
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 726718
Суббота и воскресенье – выходные (Subbota i voskresenʹe – vyhodnye)
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 726718
Вы будете носить униформу (Vy budete nositʹ uniformu)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording