Jifunze Kirusi :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kirusi
Unatamkaje kwa Kirusi Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 726710
Там две кровати? (Tam dve krovati)
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 726710
У вас есть обслуживание номеров? (U vas estʹ obsluživanie nomerov)
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 726710
У вас есть ресторан? (U vas estʹ restoran)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 726710
Питание включено в стоимость? (Pitanie vključeno v stoimostʹ)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 726710
У вас есть бассейн? (U vas estʹ bassejn)
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 726710
Где бассейн? (Gde bassejn)
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 726710
Нам нужны полотенца для бассейна (Nam nužny polotenca dlja bassejna)
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 726710
Принесите, пожалуйста, другую подушку? (Prinesite, požalujsta, druguju podušku)
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 726710
Наш номер не убран (Naš nomer ne ubran)
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 726710
В номере нет одеял (V nomere net odejal)
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 726710
Мне нужно поговорить с менеджером (Mne nužno pogovoritʹ s menedžerom)
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 726710
У нас нет горячей воды (U nas net gorjačej vody)
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 726710
Мне не нравится этот номер (Mne ne nravitsja ètot nomer)
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 726710
Душ не работает (Duš ne rabotaet)
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 726710
Нам нужен номер с кондиционером (Nam nužen nomer s kondicionerom)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording