Jifunze Kirusi :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kirusi
Unatamkaje kwa Kirusi Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 726709
Номер в отеле (Nomer v otele)
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 726709
Я бронировал номер (Ja broniroval nomer)
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 726709
Я не бронировал номер (Ja ne broniroval nomer)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 726709
У вас есть свободный номер? (U vas estʹ svobodnyj nomer)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 726709
Можно посмотреть номер? (Možno posmotretʹ nomer)
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 726709
Сколько он стоит за ночь? (Skolʹko on stoit za nočʹ)
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 726709
Сколько он стоит за неделю? (Skolʹko on stoit za nedelju)
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 726709
Я останусь на три недели (Ja ostanusʹ na tri nedeli)
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 726709
Мы здесь на две недели (My zdesʹ na dve nedeli)
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 726709
Я гость (Ja gostʹ)
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 726709
Нам нужно 3 ключа (Nam nužno 3 ključa)
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 726709
Где лифт? (Gde lift)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 726709
В этом номере двуспальная кровать? (V ètom nomere dvuspalʹnaja krovatʹ)
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 726709
Там есть ванная комната? (Tam estʹ vannaja komnata)
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 726709
Мы хотим снять номер с видом на океан (My hotim snjatʹ nomer s vidom na okean)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording