Jifunze Kirusi :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kirusi
Unatamkaje kwa Kirusi Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 726702
Мне нехорошо (Mne nehorošo)
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 726702
Я болен (Ja bolen)
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня болит живот (U menja bolit život)
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня голова болит (U menja golova bolit)
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 726702
Меня тошнит (Menja tošnit)
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня аллергия (U menja allergija)
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня понос (U menja ponos)
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня кружится голова (U menja kružitsja golova)
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня мигрень (U menja migrenʹ)
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 726702
Со вчерашнего дня у меня высокая температура (So včerašnego dnja u menja vysokaja temperatura)
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 726702
Мне нужно обезболивающее (mne nuzhno obezbolivajushhee)
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня не высокое давление (U menja ne vysokoe davlenie)
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 726702
Я беременна (Ja beremenna)
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 726702
У меня сыпь (U menja sypʹ)
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 726702
Это серьезно? (Èto serʹezno)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording