Jifunze Kirusi :: Somo la 74 Vizuizi vya lishe
Misamiati ya Kirusi
Unatamkaje kwa Kirusi Niko katika mpangilio wa chakula; Mimi ni mla mboga; Sili nyama; Nina mzio wa karanga; Siwezi kula gluten; Siwezi kula sukari; Siruhusiwi kula sukari; Nina mizio ya vyakula mbalimbali; Kina vyungo gani?;
1/9
Niko katika mpangilio wa chakula
© Copyright LingoHut.com 726686
Я на диете (Ja na diete)
Rudia kwa sauti
2/9
Mimi ni mla mboga
© Copyright LingoHut.com 726686
Я вегетарианец (Ja vegetarianec)
Rudia kwa sauti
3/9
Sili nyama
© Copyright LingoHut.com 726686
Я не ем мясо (Ja ne em mjaso)
Rudia kwa sauti
4/9
Nina mzio wa karanga
© Copyright LingoHut.com 726686
У меня аллергия на орехи (U menja allergija na orehi)
Rudia kwa sauti
5/9
Siwezi kula gluten
© Copyright LingoHut.com 726686
Я не ем глютен (Ja ne em gljuten)
Rudia kwa sauti
6/9
Siwezi kula sukari
© Copyright LingoHut.com 726686
Я не ем сахар (Ja ne em sahar)
Rudia kwa sauti
7/9
Siruhusiwi kula sukari
© Copyright LingoHut.com 726686
Мне нельзя есть сахар (Mne nelʹzja estʹ sahar)
Rudia kwa sauti
8/9
Nina mizio ya vyakula mbalimbali
© Copyright LingoHut.com 726686
У меня аллергия на некоторые продукты (U menja allergija na nekotorye produkty)
Rudia kwa sauti
9/9
Kina vyungo gani?
© Copyright LingoHut.com 726686
Что сюда входит? (Čto sjuda vhodit)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording