Jifunze Kirusi :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kirusi
Unatamkaje kwa Kirusi Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 726683
Нам нужен столик на четверых (Nam nužen stolik na četveryh)
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 726683
Я хочу заказать столик на двоих (Ja hoču zakazatʹ stolik na dvoih)
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 726683
Можно меню? (Možno menju)
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 726683
Что бы вы посоветовали? (Čto by vy posovetovali)
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 726683
Что включено? (Čto vključeno)
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 726683
К этому блюду подается салат? (K ètomu bljudu podaetsja salat)
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726683
Какой суп дня? (Kakoj sup dnja)
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726683
Какие сегодня блюда дня? (Kakie segodnja bljuda dnja)
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 726683
Что бы вы хотели поесть? (Čto by vy hoteli poestʹ)
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 726683
Десерт дня (Desert dnja)
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 726683
Я хочу попробовать блюдо местной кухни (Ja hoču poprobovatʹ bljudo mestnoj kuhni)
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 726683
Какое мясо вы подаете? (Kakoe mjaso vy podaete)
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 726683
Мне нужна салфетка (Mne nužna salfetka)
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726683
Можно ещё воды, пожалуйста? (Možno eŝë vody, požalujsta)
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 726683
Передайте, пожалуйста, соль (Peredajte, požalujsta, solʹ)
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 726683
Принесите, пожалуйста, фрукты (Prinesite, požalujsta, frukty)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording