Jifunze Kireno :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kireno
Unatamkaje kwa Kireno Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu não me sinto bem
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou doente
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou com dor no estômago
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou com dor de cabeça
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou enjoado
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou com uma alergia
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou com diarreia
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou tonto
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou com febre
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou com febre desde ontem
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu preciso de remédio para dor
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu não tenho pressão alta
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou grávida
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 726577
Eu estou com uma erupção
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 726577
É sério?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording