Jifunze Kireno :: Somo la 84 Wakati na tarehe
Misamiati ya Kireno
Unatamkaje kwa Kireno Kesho asubuhi; Juzi; Kesho kutwa; Wiki ijayo; Wiki iliyopita; Mwezi ujao; Mwezi uliopita; Mwaka ujao; Mwaka jana; Siku gani?; Mwezi gani?; Leo ni siku gani?; Leo ni tarehe 21 Novemba; Niamshe saa mbili; Miadi yako ni wakati gani?; Je, tunaweza kuzungumza kuhusu hayo kesho?;
1/16
Kesho asubuhi
© Copyright LingoHut.com 726571
Amanhã de manhã
Rudia kwa sauti
2/16
Juzi
© Copyright LingoHut.com 726571
Anteontem
Rudia kwa sauti
3/16
Kesho kutwa
© Copyright LingoHut.com 726571
Depois de amanhã
Rudia kwa sauti
4/16
Wiki ijayo
© Copyright LingoHut.com 726571
Semana que vem
Rudia kwa sauti
5/16
Wiki iliyopita
© Copyright LingoHut.com 726571
Semana passada
Rudia kwa sauti
6/16
Mwezi ujao
© Copyright LingoHut.com 726571
Mês que vem
Rudia kwa sauti
7/16
Mwezi uliopita
© Copyright LingoHut.com 726571
Mês passado
Rudia kwa sauti
8/16
Mwaka ujao
© Copyright LingoHut.com 726571
Ano que vem
Rudia kwa sauti
9/16
Mwaka jana
© Copyright LingoHut.com 726571
Ano passado
Rudia kwa sauti
10/16
Siku gani?
© Copyright LingoHut.com 726571
Que dia?
Rudia kwa sauti
11/16
Mwezi gani?
© Copyright LingoHut.com 726571
Que mês?
Rudia kwa sauti
12/16
Leo ni siku gani?
© Copyright LingoHut.com 726571
Que dia é hoje?
Rudia kwa sauti
13/16
Leo ni tarehe 21 Novemba
© Copyright LingoHut.com 726571
Hoje é 21 de novembro
Rudia kwa sauti
14/16
Niamshe saa mbili
© Copyright LingoHut.com 726571
Me acorde às oito
Rudia kwa sauti
15/16
Miadi yako ni wakati gani?
© Copyright LingoHut.com 726571
Quando é sua hora marcada?
Rudia kwa sauti
16/16
Je, tunaweza kuzungumza kuhusu hayo kesho?
© Copyright LingoHut.com 726571
Podemos conversar amanhã?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording