Jifunze Kireno :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kireno
Unatamkaje kwa Kireno Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 726558
Precisamos de uma mesa para quatro pessoas
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 726558
Eu gostaria de reservar uma mesa para duas pessoas
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 726558
Eu posso ver o cardápio?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 726558
O que você recomenda?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 726558
O que está incluído?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 726558
Vem com salada?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726558
Qual é a sopa do dia?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726558
Quais são os especiais de hoje?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 726558
O que você gostaria de comer?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 726558
A sobremesa do dia
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 726558
Eu gostaria de experimentar um prato regional
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 726558
Que tipos de carne vocês têm?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 726558
Eu preciso de um guardanapo
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726558
Você pode trazer mais água?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 726558
Você pode me passar o sal?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 726558
Você pode me trazer frutas?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording