Jifunze Kireno :: Somo la 27 Shughuli za pwani
Misamiati ya Kireno
Unatamkaje kwa Kireno Kuota jua; Neli ya hewa ya mzamia; Kutumia neli ya hewa; Je, ufukwe una mchanga?; Je, ni salama kwa watoto?; Je, tunaweza kuogelea hapa?; Je, ni salama kuogelea hapa?; Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?; Je, bamvua inatokea saa ngapi?; Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?; Je, kuna mkondo wa nguvu?; Naenda kwa matembezi; Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?; Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?; Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?;
1/15
Kuota jua
© Copyright LingoHut.com 726514
Tomar sol
Rudia kwa sauti
2/15
Neli ya hewa ya mzamia
© Copyright LingoHut.com 726514
(o) Snorkel
Rudia kwa sauti
3/15
Kutumia neli ya hewa
© Copyright LingoHut.com 726514
Praticar snorkeling
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ufukwe una mchanga?
© Copyright LingoHut.com 726514
A praia tem bastante areia?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, ni salama kwa watoto?
© Copyright LingoHut.com 726514
É seguro para crianças?
Rudia kwa sauti
6/15
Je, tunaweza kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 726514
Nós podemos nadar aqui?
Rudia kwa sauti
7/15
Je, ni salama kuogelea hapa?
© Copyright LingoHut.com 726514
É seguro nadar aqui?
Rudia kwa sauti
8/15
Je, kuna mkondo wa chini wenye hatari?
© Copyright LingoHut.com 726514
Há uma corrente perigosa?
Rudia kwa sauti
9/15
Je, bamvua inatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 726514
Que horas a maré é alta?
Rudia kwa sauti
10/15
Je, maji kupwa yanatokea saa ngapi?
© Copyright LingoHut.com 726514
Que horas a maré é baixa?
Rudia kwa sauti
11/15
Je, kuna mkondo wa nguvu?
© Copyright LingoHut.com 726514
A correnteza é forte?
Rudia kwa sauti
12/15
Naenda kwa matembezi
© Copyright LingoHut.com 726514
Eu vou dar uma volta
Rudia kwa sauti
13/15
Je, tunaweza kupiga mbizi hapa bila hatari?
© Copyright LingoHut.com 726514
Nós podemos mergulhar aqui sem perigo?
Rudia kwa sauti
14/15
Ninawezaje kufika kwenye kisiwa?
© Copyright LingoHut.com 726514
Como eu chego à ilha?
Rudia kwa sauti
15/15
Je, kuna mashua ambayo inaweza kutuchukua huko?
© Copyright LingoHut.com 726514
Algum barco pode nos levar até lá?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording