Jifunze Kipolandi :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kipolandi
Unatamkaje kwa Kipolandi Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 726460
Czy są w nim 2 łóżka?
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 726460
Czy to pokój z obsługą?
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 726460
Czy w hotelu jest restauracja?
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 726460
Posiłki są wliczone w cenę?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 726460
Czy dysponują Państwo basenem?
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 726460
Gdzie jest basen?
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 726460
Potrzebujemy ręczników kąpielowych na basen
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 726460
Czy mogę prosić o jeszcze jedną poduszkę?
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 726460
Nasz pokój nie został posprzątany
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 726460
W pokoju nie ma koców
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 726460
Chcę porozmawiać z kierownikiem
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 726460
Nie ma ciepłej wody
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 726460
Nie podoba mi się ten pokój
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 726460
Prysznic nie działa
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 726460
Chcemy pokój z klimatyzacją
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording