Jifunze Kipolandi :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kipolandi
Unatamkaje kwa Kipolandi Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 726452
Nie czuję się dobrze
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 726452
Jestem chory
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 726452
Boli mnie brzuch
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 726452
Boli mnie głowa
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 726452
Czuję mdłości
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 726452
Mam alergię
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 726452
Mam biegunkę
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 726452
Mam zawroty głowy
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 726452
Mam migrenę
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 726452
Mam gorączkę od wczoraj
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 726452
Potrzebuję czegoś przeciwbólowego
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 726452
Nie mam wysokiego ciśnienia
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 726452
Jestem w ciąży
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 726452
Mam wysypkę
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 726452
Czy to coś poważnego?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording