Jifunze Kipolandi :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kipolandi
Unatamkaje kwa Kipolandi Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 726433
Poproszę o stolik dla czterech osób
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 726433
Chciałbym zarezerwować stolik dla dwojga
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 726433
Czy mogę zobaczyć menu?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 726433
Co polecacie?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 726433
Co jest wliczone w cenę?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 726433
Czy dostanę do tego sałatkę?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726433
Jaką macie zupę dnia?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726433
Jakie są dzisiejsze dania dnia?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 726433
Co chciałabyś zjeść?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 726433
Deser dnia
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 726433
Chciałbym spróbować dania regionalnego
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 726433
Jakie rodzaje mięsa państwo oferują?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 726433
Potrzebuję serwetkę
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726433
Czy mogę prosić o nieco wody?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 726433
Czy możesz podać mi sól?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 726433
Czy mogę prosić o owoce?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording