Jifunze Kinorwe :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kinorwe
Unatamkaje kwa Kinorwe Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 726308
Vi trenger et bord for fire
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 726308
Jeg ønsker å reservere et bord for to
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 726308
Kan jeg få se menyen?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 726308
Hva anbefaler du?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 726308
Hva er inkludert?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 726308
Kommer den med en salat?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726308
Hva er dagens suppe?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726308
Hva er dagens rett?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 726308
Hva ønsker du å spise?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 726308
Dagens dessert
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 726308
Jeg vil gjerne prøve en lokal rett
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 726308
Hva slags kjøtt har dere?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 726308
Jeg trenger en serviett
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726308
Kan du gi meg litt mer vann?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 726308
Kan du sende meg saltet?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 726308
Kan jeg få frukt?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording