Jifunze Kimalei :: Somo la 57 Kununua kwa nguo
Misamiati ya Kimalei
Unatamkaje kwa Kimalei Naweza kujipima?; Wapi chumba kubadilisha?; Kubwa; Ya kati; Ndogo; Navaa saizi kubwa; Je, una saizi kubwa zaidi?; Je, una saizi ndogo zaidi?; Hii inabana sana; Inanifaa vizuri; Napenda hii shati; Unauza makoti ya mvua?; Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?; Rangi hainipendezi; Je, unayo katika rangi nyingine?; Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?; Unaweza kunionyesha saa?;
1/17
Naweza kujipima?
© Copyright LingoHut.com 726169
Bolehkah saya cuba?
Rudia kwa sauti
2/17
Wapi chumba kubadilisha?
© Copyright LingoHut.com 726169
Di manakah bilik persalinan?
Rudia kwa sauti
3/17
Kubwa
© Copyright LingoHut.com 726169
Besar
Rudia kwa sauti
4/17
Ya kati
© Copyright LingoHut.com 726169
Sederhana
Rudia kwa sauti
5/17
Ndogo
© Copyright LingoHut.com 726169
Kecil
Rudia kwa sauti
6/17
Navaa saizi kubwa
© Copyright LingoHut.com 726169
Saya pakai saiz besar
Rudia kwa sauti
7/17
Je, una saizi kubwa zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726169
Adakah awak mempunyai saiz lebih besar?
Rudia kwa sauti
8/17
Je, una saizi ndogo zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726169
Adakah awak mempunyai saiz lebih kecil?
Rudia kwa sauti
9/17
Hii inabana sana
© Copyright LingoHut.com 726169
Ini terlalu ketat
Rudia kwa sauti
10/17
Inanifaa vizuri
© Copyright LingoHut.com 726169
Ia padan dengan saya
Rudia kwa sauti
11/17
Napenda hii shati
© Copyright LingoHut.com 726169
Saya suka baju ini
Rudia kwa sauti
12/17
Unauza makoti ya mvua?
© Copyright LingoHut.com 726169
Adakah awak menjual baju hujan?
Rudia kwa sauti
13/17
Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?
© Copyright LingoHut.com 726169
Bolehkah awak tunjukkan saya beberapa baju?
Rudia kwa sauti
14/17
Rangi hainipendezi
© Copyright LingoHut.com 726169
Warna tak sesuai dengan saya
Rudia kwa sauti
15/17
Je, unayo katika rangi nyingine?
© Copyright LingoHut.com 726169
Adakah warna lain?
Rudia kwa sauti
16/17
Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?
© Copyright LingoHut.com 726169
Di manakah saya boleh cari baju mandi?
Rudia kwa sauti
17/17
Unaweza kunionyesha saa?
© Copyright LingoHut.com 726169
Bolehkah awak tunjukkan saya jam itu?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording