Jifunze Kimasedonia :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kimasedonia
Unatamkaje kwa Kimasedonia Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 726058
Ни треба маса за четворица
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 726058
Јас би сакал да резервирам маса за двајца
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 726058
Може ли да го видам менито?
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 726058
Што ни препорачуваш?
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 726058
Што оди во прилог?
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 726058
Дали се служи со салата?
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726058
Која е супата на денот?
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 726058
Кои се специјалитетите на денот?
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 726058
Што би сакал да јадеш?
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 726058
Десертот на денот
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 726058
Јас би сакал да пробам регионално јадење
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 726058
Какви видови месо имаш?
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 726058
Ми треба салфетка
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 726058
Може ли да добијам уште вода?
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 726058
Можеш ли да ми ја подадеш солта?
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 726058
Можеш ли да ми донесеш овошје?
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording