Jifunze Kikorea :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kikorea
Unatamkaje kwa Kikorea Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 725718
건강 보험이 제공되나요? (geongang boheomi jegongdoenayo)
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 725718
네, 업무 시작 6개월 후부터 적용됩니다 (ne, eopmu sijak 6gaewol hubuteo jeogyongdoepnida)
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 725718
노동허가증이 있으신가요? (nodongheogajeungi isseusingayo)
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 725718
노동허가증이 있습니다 (nodongheogajeungi issseupnida)
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 725718
노동허가증이 없습니다 (nodongheogajeungi eopsseupnida)
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 725718
언제 시작할 수 있으신가요? (eonje sijakhal su isseusingayo)
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 725718
시간당 10달러를 지급합니다 (sigandang 10dalleoreul jigeuphapnida)
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 725718
시간당 10유로를 지급합니다 (sigandang 10yuroreul jigeuphapnida)
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 725718
급여는 주급으로 지급됩니다 (geubyeoneun jugeubeuro jigeupdoepnida)
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 725718
한 달에 (han dare)
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 725718
토요일과 일요일에는 쉬실 수 있습니다 (toyoilgwa iryoireneun swisil su issseupnida)
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 725718
당신은 유니폼을 입게 될 것입니다 (dangsineun yunipomeul ipge doel geosipnida)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording