Jifunze Kikorea :: Somo la 89 Ofisi ya matibabu
Misamiati ya Kikorea
Unatamkaje kwa Kikorea Nahitaji kuona daktari; Je, daktari yuko ofisini?; Unaweza tafadhali kuita daktari?; Daktari atakuja lini?; Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?; Sijui nina nini; Nimepoteza miwani yangu; Je, unaweza kuibadilisha mara moja?; Ninahitaji agizo la daktari?; Je, unakula dawa yoyote?; Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu; Asante kwa msaada wako;
1/12
Nahitaji kuona daktari
© Copyright LingoHut.com 725701
의사 선생님에게 진찰 받아야 합니다 (uisa seonsaengnimege jinchal badaya hapnida)
Rudia kwa sauti
2/12
Je, daktari yuko ofisini?
© Copyright LingoHut.com 725701
의사 선생님이 진료실에 계신가요? (uisa seonsaengnimi jinryosire gyesingayo)
Rudia kwa sauti
3/12
Unaweza tafadhali kuita daktari?
© Copyright LingoHut.com 725701
의사를 불러 주시겠습니까? (uisareul bulleo jusigessseupnikka)
Rudia kwa sauti
4/12
Daktari atakuja lini?
© Copyright LingoHut.com 725701
의사 선생님이 언제 오실까요? (uisa seonsaengnimi eonje osilkkayo)
Rudia kwa sauti
5/12
Je, wewe ni muuguzi (wa kike)?
© Copyright LingoHut.com 725701
간호사이신가요? (ganhosaisingayo)
Rudia kwa sauti
6/12
Sijui nina nini
© Copyright LingoHut.com 725701
무슨 병인지 모르겠어요 (museun byeonginji moreugesseoyo)
Rudia kwa sauti
7/12
Nimepoteza miwani yangu
© Copyright LingoHut.com 725701
안경을 잃어버렸어요 (angyeongeul ilheobeoryeosseoyo)
Rudia kwa sauti
8/12
Je, unaweza kuibadilisha mara moja?
© Copyright LingoHut.com 725701
바로 교체 할 수 있습니까? (baro gyoche hal su issseupnikka)
Rudia kwa sauti
9/12
Ninahitaji agizo la daktari?
© Copyright LingoHut.com 725701
처방전이 필요합니까? (cheobangjeoni piryohapnikka)
Rudia kwa sauti
10/12
Je, unakula dawa yoyote?
© Copyright LingoHut.com 725701
드시고 계신 약이 있으신가요? (deusigo gyesin yagi isseusingayo)
Rudia kwa sauti
11/12
Ndiyo, kwa ajili ya moyo wangu
© Copyright LingoHut.com 725701
네, 심장약이요 (ne, simjangyagiyo)
Rudia kwa sauti
12/12
Asante kwa msaada wako
© Copyright LingoHut.com 725701
도와주셔서 감사합니다 (dowajusyeoseo gamsahapnida)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording