Jifunze Kikorea :: Somo la 71 Kwenye mkahawa
Misamiati ya Kikorea
Unatamkaje kwa Kikorea Tunahitaji meza ya watu wanne; Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili; Naweza kuona menyu?; Unapendekeza nini?; Ni pamoja na nini?; Je, inakuja pamoja na saladi?; Supu ya leo ni gani?; Chakula maalum cha leo ni gani?; Ungependa kula nini?; Kitindamlo cha siku; Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji; Una nyama gani?; Nahitaji kitambaa; Unaweza kunipa maji zaidi?; Unaweza kunipa chumvi?; Unaweza kuniletea matunda?;
1/16
Tunahitaji meza ya watu wanne
© Copyright LingoHut.com 725683
네 사람 자리가 필요합니다 (ne saram jariga piryohapnida)
Rudia kwa sauti
2/16
Ningependa kuhifadhi meza ya watu wawili
© Copyright LingoHut.com 725683
두 사람 자리를 예약하고 싶은데요 (du saram jarireul yeyakhago sipeundeyo)
Rudia kwa sauti
3/16
Naweza kuona menyu?
© Copyright LingoHut.com 725683
메뉴를 볼 수 있을까요? (menyureul bol su isseulkkayo)
Rudia kwa sauti
4/16
Unapendekeza nini?
© Copyright LingoHut.com 725683
무슨 메뉴를 추천하십니까? (museun menyureul chucheonhasipnikka)
Rudia kwa sauti
5/16
Ni pamoja na nini?
© Copyright LingoHut.com 725683
무엇이 들어 있나요? (mueosi deureo issnayo)
Rudia kwa sauti
6/16
Je, inakuja pamoja na saladi?
© Copyright LingoHut.com 725683
샐러드와 함께 나오나요? (saelleodeuwa hamkke naonayo)
Rudia kwa sauti
7/16
Supu ya leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 725683
오늘의 수프는 무엇입니까? (oneurui supeuneun mueosipnikka)
Rudia kwa sauti
8/16
Chakula maalum cha leo ni gani?
© Copyright LingoHut.com 725683
오늘의 특별 메뉴는 무엇입니까? (oneurui teukbyeol menyuneun mueosipnikka)
Rudia kwa sauti
9/16
Ungependa kula nini?
© Copyright LingoHut.com 725683
무엇을 드시겠어요? (mueoseul deusigesseoyo)
Rudia kwa sauti
10/16
Kitindamlo cha siku
© Copyright LingoHut.com 725683
오늘의 디저트 (oneurui dijeoteu)
Rudia kwa sauti
11/16
Ningependa kujaribu chakula cha kienyeji
© Copyright LingoHut.com 725683
향토 요리를 먹어보고 싶어요 (hyangto yorireul meogeobogo sipeoyo)
Rudia kwa sauti
12/16
Una nyama gani?
© Copyright LingoHut.com 725683
어떤 고기 종류가 있나요? (eotteon gogi jongryuga issnayo)
Rudia kwa sauti
13/16
Nahitaji kitambaa
© Copyright LingoHut.com 725683
냅킨 좀 주세요 (naepkin jom juseyo)
Rudia kwa sauti
14/16
Unaweza kunipa maji zaidi?
© Copyright LingoHut.com 725683
물을 좀 더 가져다 주시겠어요? (mureul jom deo gajyeoda jusigesseoyo)
Rudia kwa sauti
15/16
Unaweza kunipa chumvi?
© Copyright LingoHut.com 725683
소금 좀 주실래요? (sogeum jom jusillaeyo)
Rudia kwa sauti
16/16
Unaweza kuniletea matunda?
© Copyright LingoHut.com 725683
과일 좀 가져다 주시겠어요? (gwail jom gajyeoda jusigesseoyo)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording