Jifunze Kikorea :: Somo la 57 Kununua kwa nguo
Misamiati ya Kikorea
Unatamkaje kwa Kikorea Naweza kujipima?; Wapi chumba kubadilisha?; Kubwa; Ya kati; Ndogo; Navaa saizi kubwa; Je, una saizi kubwa zaidi?; Je, una saizi ndogo zaidi?; Hii inabana sana; Inanifaa vizuri; Napenda hii shati; Unauza makoti ya mvua?; Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?; Rangi hainipendezi; Je, unayo katika rangi nyingine?; Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?; Unaweza kunionyesha saa?;
1/17
Naweza kujipima?
© Copyright LingoHut.com 725669
입어 봐도 되나요? (ibeo bwado doenayo)
Rudia kwa sauti
2/17
Wapi chumba kubadilisha?
© Copyright LingoHut.com 725669
탈의실은 어디인가요? (taruisireun eodiingayo)
Rudia kwa sauti
3/17
Kubwa
© Copyright LingoHut.com 725669
라지 사이즈 (raji saijeu)
Rudia kwa sauti
4/17
Ya kati
© Copyright LingoHut.com 725669
미듐 사이즈 (midyum saijeu)
Rudia kwa sauti
5/17
Ndogo
© Copyright LingoHut.com 725669
스몰 사이즈 (seumol saijeu)
Rudia kwa sauti
6/17
Navaa saizi kubwa
© Copyright LingoHut.com 725669
라지사이즈를 입습니다 (rajisaijeureul ipseupnida)
Rudia kwa sauti
7/17
Je, una saizi kubwa zaidi?
© Copyright LingoHut.com 725669
더 큰 사이즈가 있나요? (deo keun saijeuga issnayo)
Rudia kwa sauti
8/17
Je, una saizi ndogo zaidi?
© Copyright LingoHut.com 725669
더 작은 사이즈가 있나요? (deo jageun saijeuga issnayo)
Rudia kwa sauti
9/17
Hii inabana sana
© Copyright LingoHut.com 725669
너무 꼭 맞네요 (neomu kkok majneyo)
Rudia kwa sauti
10/17
Inanifaa vizuri
© Copyright LingoHut.com 725669
잘 맞네요 (jal majneyo)
Rudia kwa sauti
11/17
Napenda hii shati
© Copyright LingoHut.com 725669
이 셔츠 마음에 드네요 (i syeocheu maeume deuneyo)
Rudia kwa sauti
12/17
Unauza makoti ya mvua?
© Copyright LingoHut.com 725669
비옷 판매하시나요? (biot panmaehasinayo)
Rudia kwa sauti
13/17
Unaweza kunionyesha baadhi ya mashati?
© Copyright LingoHut.com 725669
셔츠 좀 보여 주실래요? (syeocheu jom boyeo jusillaeyo)
Rudia kwa sauti
14/17
Rangi hainipendezi
© Copyright LingoHut.com 725669
색상이 저에게 어울리지 않아요 (saeksangi jeoege eoulliji anhayo)
Rudia kwa sauti
15/17
Je, unayo katika rangi nyingine?
© Copyright LingoHut.com 725669
다른 색상도 있나요? (dareun saeksangdo issnayo)
Rudia kwa sauti
16/17
Ni wapi naweza kupata nguo ya kuogelea?
© Copyright LingoHut.com 725669
수영복은 어디 있나요? (suyeongbogeun eodi issnayo)
Rudia kwa sauti
17/17
Unaweza kunionyesha saa?
© Copyright LingoHut.com 725669
시계를 보여주시겠어요? (sigyereul boyeojusigesseoyo)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording