Jifunze Kijapani :: Somo la 123 Vitu ninafanya na sitaki
Misamiati ya Kijapani
Unatamkaje kwa Kijapani Nataka kuota jua; Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini; Nataka kwenda kwenye bustani; Nataka kwenda ziwani; Nataka kuteleza kwa ubao thelujini; Nataka kusafiri; Nataka kwenda kwa mashua; Nataka kucheza karata; Sitaki kwenda kupiga kambi; Sitaki kwenda kwa tanga; Sitaki kwenda kuvua; Sitaki kwenda kuogelea; Sitaki kucheza michezo ya video;
1/13
Nataka kuota jua
© Copyright LingoHut.com 725610
私は日光浴をしたいです (watashi wa nikkouyoku wo shi tai desu)
Rudia kwa sauti
2/13
Nataka kwenda kuteleza kwa skii ya majini
© Copyright LingoHut.com 725610
私は水上スキーに行きたいです (watashi wa suijou sukiー ni iki tai desu)
Rudia kwa sauti
3/13
Nataka kwenda kwenye bustani
© Copyright LingoHut.com 725610
私は公園に行きたいです (watashi wa kouen ni iki tai desu)
Rudia kwa sauti
4/13
Nataka kwenda ziwani
© Copyright LingoHut.com 725610
私は湖に行きたいです (watashi wa mizuumi ni iki tai desu)
Rudia kwa sauti
5/13
Nataka kuteleza kwa ubao thelujini
© Copyright LingoHut.com 725610
私はスキーをしたいです (watashi wa sukiー wo shi tai desu)
Rudia kwa sauti
6/13
Nataka kusafiri
© Copyright LingoHut.com 725610
私は旅行をしたいです (watashi wa ryokou wo shi tai desu)
Rudia kwa sauti
7/13
Nataka kwenda kwa mashua
© Copyright LingoHut.com 725610
私はボートに乗りに行きたいです (watashi wa bōto ni nori ni ikitaidesu)
Rudia kwa sauti
8/13
Nataka kucheza karata
© Copyright LingoHut.com 725610
私はトランプをしたいです (watashi wa toranpu wo shi tai desu)
Rudia kwa sauti
9/13
Sitaki kwenda kupiga kambi
© Copyright LingoHut.com 725610
私はキャンプには行きたくないです (watashi wa kyanpu ni wa iki taku nai desu)
Rudia kwa sauti
10/13
Sitaki kwenda kwa tanga
© Copyright LingoHut.com 725610
私はセーリングには行きたくないです (watashi wa seーringu ni wa iki taku nai desu)
Rudia kwa sauti
11/13
Sitaki kwenda kuvua
© Copyright LingoHut.com 725610
私は釣りには行きたくないです (watashi wa tsuri ni wa iki taku nai desu)
Rudia kwa sauti
12/13
Sitaki kwenda kuogelea
© Copyright LingoHut.com 725610
私は泳ぎには行きたくないです (watashi wa oyogi ni wa iki taku nai desu)
Rudia kwa sauti
13/13
Sitaki kucheza michezo ya video
© Copyright LingoHut.com 725610
私はビデオゲームはしたくないです (watashi wa bideo geーmu wa shi taku nai desu)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording