Jifunze Kijapani :: Somo la 106 Mahojiano ya kazi
Misamiati ya Kijapani
Unatamkaje kwa Kijapani Je, unatoa bima ya afya?; Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa; Je, una kibali cha kufanya kazi?; Nina kibali cha kufanya kazi; Sina kibali cha kufanya kazi; Unaweza kuanza lini?; Ninalipa dola kumi kwa saa; Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa; Nitakulipa kwa wiki; Kwa mwezi; Una mapumziko Jumamosi na Jumapili; Utavaa sare;
1/12
Je, unatoa bima ya afya?
© Copyright LingoHut.com 725593
健康保険はありますか? (kenkō hoken wa arimasu ka)
Rudia kwa sauti
2/12
Ndiyo, baada ya miezi sita ya kufanya kazi hapa
© Copyright LingoHut.com 725593
はい、ここで6ヶ月働くとあります (hai, koko de 6 kagetsu hataraku to arimasu)
Rudia kwa sauti
3/12
Je, una kibali cha kufanya kazi?
© Copyright LingoHut.com 725593
あなたは就労許可を持っていますか? (anata wa shuurou kyoka wo mo tte i masu ka)
Rudia kwa sauti
4/12
Nina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 725593
私は就労許可を持っています (watashi wa shuurou kyoka wo mo tte i masu)
Rudia kwa sauti
5/12
Sina kibali cha kufanya kazi
© Copyright LingoHut.com 725593
私は就労許可を持っていません (watashi wa shuurou kyoka wo mo tte i mase n)
Rudia kwa sauti
6/12
Unaweza kuanza lini?
© Copyright LingoHut.com 725593
いつから開始できますか? (itsu kara kaishi deki masu ka)
Rudia kwa sauti
7/12
Ninalipa dola kumi kwa saa
© Copyright LingoHut.com 725593
時給は1時間10ドルです (jikyū wa 1 jikan 10 dorudesu)
Rudia kwa sauti
8/12
Ninalipa yuro kumi za Ulaya kwa saa
© Copyright LingoHut.com 725593
一時間に10ユーロ払います。 (ichi jikan nijū yūro haraimasu)
Rudia kwa sauti
9/12
Nitakulipa kwa wiki
© Copyright LingoHut.com 725593
週ごとにお支払いします (shuu goto ni o shiharai shi masu)
Rudia kwa sauti
10/12
Kwa mwezi
© Copyright LingoHut.com 725593
月ごと (tsuki goto)
Rudia kwa sauti
11/12
Una mapumziko Jumamosi na Jumapili
© Copyright LingoHut.com 725593
毎週土日がお休みです (maishuu donichi ga o yasumi desu)
Rudia kwa sauti
12/12
Utavaa sare
© Copyright LingoHut.com 725593
制服があります (seifuku ga ari masu)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording