Jifunze Kijapani :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kijapani
Unatamkaje kwa Kijapani Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 725585
ベッドが2台ありますか? (beddo ga ni dai ari masu ka)
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 725585
ルームサービスはありますか? (ruーmu saーbisu wa ari masu ka)
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 725585
レストランはありますか? (resutoran wa ari masu ka)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 725585
食事は含まれていますか? (shokuji wa fukuma re te i masu ka)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 725585
プールはありますか? (puーru wa ari masu ka)
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725585
プールはどこですか? (puーru wa doko desu ka)
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 725585
プール用のタオルが必要です (puーru you no taoru ga hitsuyou desu)
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 725585
枕をもう1つ持って来てもらえますか? (makura wo mou ichi tsu mo tte ki te morae masu ka)
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 725585
部屋が清掃されていません (heya ga seisou sa re te i mase n)
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 725585
部屋に毛布がありません (heya ni mōfu ga arimasen)
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 725585
責任者をお願いします (sekininsha o onegai shimasu)
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 725585
お湯がでません (oyu ga de mase n)
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 725585
この部屋が好きではありません (kono heya ga sukide wa arimasen)
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 725585
シャワーが使えません (shawaー ga tsukae mase n)
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 725585
エアコン付きのお部屋でお願いします (eakon tsuki no o heya de onegai shi masu)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording