Jifunze Kijapani :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kijapani
Unatamkaje kwa Kijapani Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 725584
客室 (kyakushitsu)
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 725584
予約しています (yoyaku shiteimasu)
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 725584
予約はしていません (yoyaku wa shi te i mase n)
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 725584
空室はございますか? (kuu shitsu wa gozai masu ka)
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 725584
お部屋を見てもいいですか? (o heya wo mi te mo ii desu ka)
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 725584
1泊いくらですか? (ippaku ikura desu ka)
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 725584
1週間あたりいくらですか? (isshūkan-atari ikuradesu ka)
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 725584
私は3週間滞在します (watashi wa san shuukan taizai shi masu)
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 725584
私たちは2週間ここにいます (watashi tachi wa ni shuukan koko ni i masu)
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 725584
私は滞在客です (watashi wa taizai kyaku desu)
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 725584
3つキーが必要です (san tsu kiー ga hitsuyou desu)
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725584
エレベーターはどこですか? (erebeーtaー wa doko desu ka)
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 725584
ダブルベッドのお部屋はありますか? (daburu beddo no o heya wa ari masu ka)
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 725584
お部屋にはバスルームが付いていますか? (o heya ni wa basu ruーmu ga tsui te i masu ka)
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 725584
オーシャンビューを希望します (oーshanbyuー wo kibou shi masu)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording