Jifunze Kijapani :: Somo la 92 Daktari: Nina homa
Misamiati ya Kijapani
Unatamkaje kwa Kijapani Mafua; Nina mafua; Nina homa ya baridi; Ndiyo, nina homa; Ninaumwa koo; Je, una homa?; Nahitaji dawa ya mafua; Umejisikia hivi kwa muda gani?; Nimejisikia hivi kwa muda wa siku 3; Kula vidonge viwili kwa siku; Mapumziko ya kitandani;
1/11
Mafua
© Copyright LingoHut.com 725579
インフルエンザ (infuruenza)
Rudia kwa sauti
2/11
Nina mafua
© Copyright LingoHut.com 725579
私は風邪をひきました (watashi wa kaze wo hiki mashi ta)
Rudia kwa sauti
3/11
Nina homa ya baridi
© Copyright LingoHut.com 725579
私は寒気がします (watashi wa samuke ga shi masu)
Rudia kwa sauti
4/11
Ndiyo, nina homa
© Copyright LingoHut.com 725579
はい、熱があります (hai, netsu ga ari masu)
Rudia kwa sauti
5/11
Ninaumwa koo
© Copyright LingoHut.com 725579
喉が痛いです (nodo ga itai desu)
Rudia kwa sauti
6/11
Je, una homa?
© Copyright LingoHut.com 725579
熱がありますか? (netsu ga ari masu ka)
Rudia kwa sauti
7/11
Nahitaji dawa ya mafua
© Copyright LingoHut.com 725579
私は風邪の処置が必要です (watashi wa kaze no shochi ga hitsuyou desu)
Rudia kwa sauti
8/11
Umejisikia hivi kwa muda gani?
© Copyright LingoHut.com 725579
症状が出てどのくらいの期間が経ちますか? (shoujou ga de te dono kurai no kikan ga tachi masu ka)
Rudia kwa sauti
9/11
Nimejisikia hivi kwa muda wa siku 3
© Copyright LingoHut.com 725579
症状が出て3日経ちます (shoujou ga de te san nichi tachi masu)
Rudia kwa sauti
10/11
Kula vidonge viwili kwa siku
© Copyright LingoHut.com 725579
1日2錠服用してください (ichi nichi ni jou fukuyou shi te kudasai)
Rudia kwa sauti
11/11
Mapumziko ya kitandani
© Copyright LingoHut.com 725579
安静 (ansei)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording