Jifunze Kijapani :: Somo la 90 Daktari: mimi ni mgonjwa
Misamiati ya Kijapani
Unatamkaje kwa Kijapani Sijisikii vizuri; Mimi ni mgonjwa; Ninaumwa tumbo; Ninaumwa kichwa; Nasikia kichefuchefu; Nina mzio; Nina tumbo la kuendesha; Nina kizunguzungu; Nina kipandauso; Nilikuwa na homa tangu jana; Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu; Sina shinikizo la damu; Mimi ni mjamzito; Nina upele; Je, hali ni mbaya sana?;
1/15
Sijisikii vizuri
© Copyright LingoHut.com 725577
気分がよくありません (kibun ga yoku ari mase n)
Rudia kwa sauti
2/15
Mimi ni mgonjwa
© Copyright LingoHut.com 725577
私は病気です (watashi wa byouki desu)
Rudia kwa sauti
3/15
Ninaumwa tumbo
© Copyright LingoHut.com 725577
胃が痛いです (i ga itai desu)
Rudia kwa sauti
4/15
Ninaumwa kichwa
© Copyright LingoHut.com 725577
頭が痛いです (atama ga itai desu)
Rudia kwa sauti
5/15
Nasikia kichefuchefu
© Copyright LingoHut.com 725577
私は吐き気がします (watashi wa hakike ga shi masu)
Rudia kwa sauti
6/15
Nina mzio
© Copyright LingoHut.com 725577
私はアレルギー持ちです (watashi wa arerugiー mochi desu)
Rudia kwa sauti
7/15
Nina tumbo la kuendesha
© Copyright LingoHut.com 725577
下痢をしています (geri wo shi te i masu)
Rudia kwa sauti
8/15
Nina kizunguzungu
© Copyright LingoHut.com 725577
クラクラします (kurakura shi masu)
Rudia kwa sauti
9/15
Nina kipandauso
© Copyright LingoHut.com 725577
偏頭痛があります (Henzutsū ga ari masu)
Rudia kwa sauti
10/15
Nilikuwa na homa tangu jana
© Copyright LingoHut.com 725577
昨日から熱があります (kinou kara netsu ga ari masu)
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji dawa kwa ajili ya maumivu
© Copyright LingoHut.com 725577
私は痛み止めの薬が必要です (watashi wa itami dome no kusuri ga hitsuyou desu)
Rudia kwa sauti
12/15
Sina shinikizo la damu
© Copyright LingoHut.com 725577
私は高血圧ではありません (watashi wa kouketsuatsu de wa ari mase n)
Rudia kwa sauti
13/15
Mimi ni mjamzito
© Copyright LingoHut.com 725577
私は妊娠しています (watashi wa ninshin shi te i masu)
Rudia kwa sauti
14/15
Nina upele
© Copyright LingoHut.com 725577
発疹があります (hosshin ga ari masu)
Rudia kwa sauti
15/15
Je, hali ni mbaya sana?
© Copyright LingoHut.com 725577
深刻ですか? (shinkoku desu ka)
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording