Jifunze Kiitaliano :: Somo la 98 Kukodisha chumba au Airbnb
Misamiati ya Kiitaliano
Unatamkaje kwa Kiitaliano Je, kina vitanda 2?; Je, mna huduma ya chumba?; Je, una mgahawa?; Je, ni pamoja na chakula?; Je, mna bwawa?; Bwawa liko wapi?; Tunahitaji taulo za bwawa; Je, unaweza kuniletea mto mwingine?; Chumba chetu haikikusafishwa; Chumba hakina blanketi zozote; Nahitaji kuongea na meneja; Hakuna maji moto; Sipendi chumba hiki; Manyunyu hayafanyi kazi; Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi;
1/15
Je, kina vitanda 2?
© Copyright LingoHut.com 725460
Ha due letti?
Rudia kwa sauti
2/15
Je, mna huduma ya chumba?
© Copyright LingoHut.com 725460
Offrite il servizio in camera?
Rudia kwa sauti
3/15
Je, una mgahawa?
© Copyright LingoHut.com 725460
C’è il ristorante?
Rudia kwa sauti
4/15
Je, ni pamoja na chakula?
© Copyright LingoHut.com 725460
Sono inclusi i pasti?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, mna bwawa?
© Copyright LingoHut.com 725460
C’è la piscina?
Rudia kwa sauti
6/15
Bwawa liko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725460
Dov’è la piscina?
Rudia kwa sauti
7/15
Tunahitaji taulo za bwawa
© Copyright LingoHut.com 725460
Ci servono asciugamani per la piscina
Rudia kwa sauti
8/15
Je, unaweza kuniletea mto mwingine?
© Copyright LingoHut.com 725460
Posso avere un altro cuscino?
Rudia kwa sauti
9/15
Chumba chetu haikikusafishwa
© Copyright LingoHut.com 725460
La nostra camera non è stata pulita
Rudia kwa sauti
10/15
Chumba hakina blanketi zozote
© Copyright LingoHut.com 725460
In camera non ci sono coperte
Rudia kwa sauti
11/15
Nahitaji kuongea na meneja
© Copyright LingoHut.com 725460
Devo parlare con il direttore
Rudia kwa sauti
12/15
Hakuna maji moto
© Copyright LingoHut.com 725460
Non c’è acqua calda
Rudia kwa sauti
13/15
Sipendi chumba hiki
© Copyright LingoHut.com 725460
Questa camera non mi piace
Rudia kwa sauti
14/15
Manyunyu hayafanyi kazi
© Copyright LingoHut.com 725460
La doccia non funziona
Rudia kwa sauti
15/15
Tunahitaji chumba chenye kiyoyozi
© Copyright LingoHut.com 725460
Ci serve una camera con l’aria condizionata
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording