Jifunze Kiitaliano :: Somo la 97 Kukodisha hoteli
Misamiati ya Kiitaliano
Unatamkaje kwa Kiitaliano Chumba cha hoteli; Nimehifadhi nafasi; Sina rizavu; Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?; Je, naweza kuona chumba?; Inagharimu ngapi kwa usiku?; Inagharimu ngapi kwa wiki?; Nitakaa kwa wiki tatu; Tuko hapa kwa wiki mbili; Mimi ni mgeni; Tunahitaji funguo 3; Lifti iko wapi?; Je, chumba kina kitanda kikubwa?; Je, kina bafu binafsi?; Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari;
1/15
Chumba cha hoteli
© Copyright LingoHut.com 725459
Camera d’albergo
Rudia kwa sauti
2/15
Nimehifadhi nafasi
© Copyright LingoHut.com 725459
Ho prenotato
Rudia kwa sauti
3/15
Sina rizavu
© Copyright LingoHut.com 725459
Non ho prenotato
Rudia kwa sauti
4/15
Je, mna chumba kinachoweza kupatikana?
© Copyright LingoHut.com 725459
Ci sono camere libere?
Rudia kwa sauti
5/15
Je, naweza kuona chumba?
© Copyright LingoHut.com 725459
Posso vedere la camera?
Rudia kwa sauti
6/15
Inagharimu ngapi kwa usiku?
© Copyright LingoHut.com 725459
Quanto costa alla notte?
Rudia kwa sauti
7/15
Inagharimu ngapi kwa wiki?
© Copyright LingoHut.com 725459
Quanto costa alla settimana?
Rudia kwa sauti
8/15
Nitakaa kwa wiki tatu
© Copyright LingoHut.com 725459
Mi fermo tre settimane
Rudia kwa sauti
9/15
Tuko hapa kwa wiki mbili
© Copyright LingoHut.com 725459
Ci fermiamo due settimane
Rudia kwa sauti
10/15
Mimi ni mgeni
© Copyright LingoHut.com 725459
Sono un ospite
Rudia kwa sauti
11/15
Tunahitaji funguo 3
© Copyright LingoHut.com 725459
Ci servono tre chiavi
Rudia kwa sauti
12/15
Lifti iko wapi?
© Copyright LingoHut.com 725459
Dov’è l’ascensore?
Rudia kwa sauti
13/15
Je, chumba kina kitanda kikubwa?
© Copyright LingoHut.com 725459
La stanza ha un letto matrimoniale?
Rudia kwa sauti
14/15
Je, kina bafu binafsi?
© Copyright LingoHut.com 725459
Ha il bagno privato?
Rudia kwa sauti
15/15
Tungependa kuwa na mtazamo wa bahari
© Copyright LingoHut.com 725459
Vorremmo avere una vista sull'oceano
Rudia kwa sauti
Enable your microphone to begin recording
Hold to record, Release to listen
Recording